MBWANA SAMATTA AITWA NA CSKA MOSCOW YA URUSI KWA MAJARIBIO

Mbwana Samatta1Mshambuliaji wa Tp Mazembe na Taifa starz, Mbwana Samatta amekosa mechi ya kwanza ya majaribio hii leo katika klabu ya CSKA Moscow ya Urusi kutokana na maumivu ya kifundo cha mguu kwa mujibu wa tovuti ya klabu hiyo.

CSKA Moscow ilimualika mtanzania huyo anayechezea TP mazembe ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ‘DRC’ kwa majaribio ingawa Samatta hakuweza kupata nafasi kwa sababu ya maumivu ambayo ameyapata .

CSKA iliyotolewa kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu ikiwa na Bayern Munich, AS Roma na Manchester City (Kundi E), kwa sasa inashika nafasi ya pili katika Ligi Kuu Urusi kwa pointi 34, huku Zenit yenye pointi 41 ikiwa kileleni.

Mbwana Samatta

Mbwana Samatta akifanya mazoezi mepesi na timu ya CSKA Moscow

Mbwana Samatta2

Samatta mazoezini na CSKA Moscow ya Urusi

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s