JACKLINE WOLPER : WOLPER NI JINA LA BABA YANGU SIO LA SANAA

Msanii nyota wa kiwanda cha filamu Bongo, Jackline Wolper Massawe, amewataka mashabiki wake wafahamu kuwa jina la Wolper sio la sanaa bali ni la baba yake mzazi na ambalo lipo hata kwenye cheti chake cha kuzaliwa.

Jack WolperMuigizaji huyo Amesema kwamba wapo mastaa wenzake ambao wamekuza majina yao ya sanaa lakini sio ya kwao wala ya wazazi wao.

Wolper ni jina la baba yangu mzazi siyo jina la sanaa, namshukuru Mungu kwahilo kwasababu wapo waliokuza majina ya sanaa lakini siyo yao wala ya wazazi wao, lakini Wolper ni jina la kwenye cheti cha baba yangu cha kuzaliwa na cha kwangu pia kama Jackline Wolper.  Asante na Usiku mwema pia‘, aliandika Wolper katika ukurasa wkae wa Instagram

Advertisements

One thought on “JACKLINE WOLPER : WOLPER NI JINA LA BABA YANGU SIO LA SANAA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s