DIAMOND : HIVI KUMBEBEA MWENZI WAKO POCHI NI MAHABA AU UZOBA???

Mfalme wa bongo Fleva na mshindi wa Tuzo 3 za Channel O, Diamond Platnumz A.K.A Sukari ya warembo, amewatwanga swali mashabiki wake juu ya suala zima la kuwabebea wenzi wao vitu mbalimbali kama vile mikoba n.k.  Je, ni mahaba au uzoba???

Diamond na ZariHivi kumbebea pochi mwenzio ni mahaba na kumjali au uzoba?”, aliandika Diamond kwenye mtandao wa Instagram sambamba na ku-post picha akiwa amebeba pochi mbili za mpenzi wake ‘Zari’ wakati  walipokuwa nchini Rwanda katika ziara yake ya kimuziki mapema mwaka huu.

Mpenzi msomaji unakaribishwa kuchangia maada hii kwa kutoa maoni yako kuhusiana na kile alichokiuliza Rais wa Wasafi. Je, ni mahaba au uzoba?

 

 

 

Advertisements

3 thoughts on “DIAMOND : HIVI KUMBEBEA MWENZI WAKO POCHI NI MAHABA AU UZOBA???

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s