COUPLE ALERT : JUX, VANESSA MDEE SIO SIRI TENA

Jux Vanessa

Jux na Vanessa wakila bata visiwani zanzibar

Wanakwambia kusoma hujui hata picha huoni. Baada ya kukanusha mara kwa mara katika media mbalimbali, hatimaye wanamuziki wanaofanya poa katika gemu la muziki wa Bongo Fleva, Jux na Vanessa Mdee wameshindwa kuficha hisia zao na kuamua kuweka kila kitu wazi.

Wawili hao ambao waliangusha shoo ya nguvu visiwani Zanzibar wikiendi iliyopita sambamba na kundi la navy Kenzo,  wali-post picha wakiwa katika pozi la mahaba niue kwenye mtandao wa Instagram na kujikuta wakipata pongezi nyingi kutoka kwa followers wao.  Tazama picha za ziara yao hapo chini

Vee Money Jux Shadee Petitiman

Mtangazaji wa Clouds Tv, Shadee(Wa Kwanza kushoto), Vanessa Mdee, Petitman na Jux baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa Zanzibar

Jux Vee Money Zanzibar

Jux akipata u-selfie flani amazing na mashabiki walio-show love katika show yao visiwani Zanzibar

Zanzibar Jux Vaness Shadee Aika MarialleZanzibar1

Advertisements

2 thoughts on “COUPLE ALERT : JUX, VANESSA MDEE SIO SIRI TENA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s