MTIBWA SUGAR YALAZIMISHWA SARE YA MOJA MOJA NA JKT RUVU

Mtibwa SugarWakata miwa wa Mtibwa ‘Mtibwa Sukari’ wamejikuta wakilazimishwa sare ya moja moja na maafande wa JKT Ruvu katika michuano ya ligi kuu ya Vodacom ambao uliochezwa kwenye uwanja wa Azam Complex uliopo Mbagala Chamanzi Jumapili iliyopita.

Mchezaji wa JKT, Samuel Kamuntu aliweza kuiandikia timu yake bao la kuongoza kabla ya Ame Ally wa Mtibwa kusawazisha mnamo dakika ya 36, kupitia mpira wa kona uliopigwa na Shijja Kichunya.

Katika mchezo mwingine, Wenyeji Coastal Union walikwenda sare tasa ya bila kufungana na Polisi Morogoro katika mtanange uliopigwa kwenye uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s