LUPITA NYONG’O AMLETEA POZI KENYA MOORE

Lupita Nyong'o

Lupita Nyong’o

Staa wa Real Housewives of Atlanta, Kenya Moore, amemtolea uvivu muigizaji Lupita nyong’o baada ya kumchomolea kupiga nae picha wakati wa sherehe za utoaji wa tuzo za Golden Globe zilizofanyika katika hoteli ya Beverly Hilton mjini California (Jan.11) mwaka huu.

Kenya ameonekana kusikitishwa na kitendo alichofanyiwa na muigizaji huyo wa 12 years a slave na kuamua kutoa dukuduku lake kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Kenya Moore

Kenya Moore

@Lupita_Nyongo refused 2 take pics After 2 movies #girlbye“, aliandika Kenya baada ya kupigwa swali na shabiki kuhusiana na usiku wa Tuzo hizo.

Alipoulizwa kama kuna bifu lolote kati yao, alikanusha na kusema kuwa ni shabiki wake mkubwa. 

no I was a huge fan!!!! There were 1000 A listers being humble,” alifafanua na kuongeza “it was disappointing that’s all. I want 2 always stay humble.”

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s