ARSENAL YAIBAMIZA 2 – 0 MAN CITY NYUMBANI KWAO

Kapteni wa Manchester City, Kompany akipishana na Refa 'Mike Dean' kufuatia madhambi aliyomfanyiNahodha wa timu ya Man City, Vincent Kompany akizozana na Refa  Mike Dean baada ya kuipa Arsenal Penalti kwa kumchezea vibaya mchezaji wao ‘Nacho Monreal’  ndani ya kumi na nane.

Santi CazorlaMchezaji wa Arsenal, Santi Cazorla akitupia mkwaju mkali kuelekea langoni mwa City baada ya kupewa penalti kufuatia Kompany kumfanyia madhambi Monreal.

24D1CCFF00000578-2915617-image-a-58_1421602887044Goli kipa wa Manchester City, Joe Hart akiutazama kwa hisia mkwaju wa penalti uliopigwa na kiungo mshambuliaji wa Arsenal ‘Santi Carzola’ ukiingia langoni kwake mnamo dakika ya 24′ kipindi cha kwanza na kupelekea washika mtutu hao wa jiji la London kuongoza mbele kwa goli moja.

Arsenal Vs Man City  Kipa wa City, Joe Hart akiutazama mpira uliopigwa kwa kichwa na mshambuliaji wa Arsenal ‘Oliver Giroud’ ukiingia golini kwake.Olivier GiroudMshambuliaji wa Arsenal na timu ya Taifa ya Ufaransa, Oliver Giroud akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili mnamo dakika ya 66′ katika mtanange uliopigwa katika uwanja wa  Etihad na mchezo huo kumalizika kwa Arsenal kunyakua alama 3 muhimu kwa ushindi wa mabao 2 kwa nunge dhidi ya Man City.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s