VPL : YANGA, RUVU SHOOTING ZATOKA SARE TASA YA BILA KUFUNGANA, SIMBA YAMDUNGA 2 – 0 NDANDA

Katika Ligi kuu Tanzania Bara, Klabu ya Simba imeibuka na ushindi wa magoli mawili kwa bila dhidi ya Ndanda ya Mtwara huku watani wao wa jadi ‘Yanga’ wakilazimishwa sare tasa ya bila kufungana dhidi ya Ruvu Shooting ya Pwani.

Wachezaji wa Simba wakishangilia baada ya kuilaza Ndanda kwa mabao mawili kwa nunge

Wachezaji wa Simba wakishangilia baada ya kuilaza Ndanda kwa mabao mawili kwa nunge

Mchezaji wa Simba, Danny Sserrunkuma aliweza kuiandikia timu yake bao la kuongoza dhidi ya Ndanda katika mtanange uliochezwa kwenye dimba la Nangwanda Sijaoni mjini Mtwara.

Yanga ScKikosi cha Jangwani ‘Yanga’ chini ya kocha mkuu Pluijm wamejikuta wakilazimishwa sare tasa ya bila kufungana na Ruvu Shooting ya Pwani katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar hapo jana.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s