KEVIN HART : KAMWE SIWEZI KUIGIZA USHOGA

Kevin HartKevin Hart ni mchekeshaji maarufu wa Marekani ambaye ametokea kujizolea umaarufu mkubwa na kujipatia mashabiki lukuki kupitia kipaji chake cha kuvunja mbavu za watu kinachomuwezesha aingize mkwanja mrefu katika akaunti zake za benki.

Lakini mbali na suala la kulipwa mkwanja mrefu, Kevin amesema kuna baadhi ya vitu ambavyo hawezi kuigiza kamwe hata kama atalipwa kiasi kikubwa cha fedha, wakati alipokuwa akihojiwa na mtangazaji ‘Charlamagne’ katika kipindi cha The Breakfast Club.

Kevin amepasua kuwa alitupia mbali dili la kuigiza kama Alpa Chino katika filamu ya Tropic Thunder kwa sababu ya mazungumzo ya ushoga yangemfanya achukuliwe vibaya na jamii yake.

Alisema kwamba yeye hayuko tayari kuigiza kama shoga katika hatua hii katika kazi yake kwa sababu anawasiwasi juu ya watu wengine watakavyomchukulia na hapendi kitu hicho kiathiri utendaji wa kazi yake.

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s