VANESSA MDEE APATA SHAVU LA KUWA BALOZI WA SAMSUNG NCHINI TANZANIA

Msanii nyota wa muziki wa kizazi kipya hapa Bongo, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ ameapata shavu la kuwa balozi wa kampuni ya Samsung  nchini Tanzania.

Vanessa amesema fursa aliyopata ni heshima kwa wasanii, kwani itamsaidia pia kukuza muziki wake.  ”It’s a good step for me and an Artists pamoja na wenzangu, it’s a good step pia kwa sanaa na muziki wa kizazi kipya”, alisema Vanessa Mdee.

Vanessa akisaini mkataba na kampuni ya Samsung

Vanessa akisaini mkataba na kampuni ya Samsung katika mkutano na waandishi wa habari

When two young fast growing brands meet only BIG things can happen. Starting 2015 in style to God be the Glory 🙌. Namshukuru Mungu kwa kuanza Mwaka na deal mpya Hii ya Samsung kama Brand Ambassador‘, aliandika Vanessa katika mtandao wa Instagram

Vee Money ameongeza idadi ya wasanii wa Bongo Fleva ambao wamelamba shavu la ubalozi wa Samsung baada ya A.Y kuchaguliwa mwaka jana.

Vee Money Jux Weusi na Mkurugenzi mpya wa tigo

Vanessa Mdee wa mwisho katikati katika selfie ya pamoja na wasanii wenzake akiwemo Jux, Weusi, ben Pol na mkurugenzi mpya wa kampuni ya Tigo

Vee Money na mkurugenzi mpya wa Tigo

Vee Money akipata u-selfie flani amazing na mkurugenzi mpya wa tigo baada ya kusaini mkataba wa kuwa balozi wa Samsung

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s