SNOOP DOGG APATA MJUKUU

Snoop Dogg na mtoto wake wa kiume 'Broadus' katika pozi

Snoop Dogg na mtoto wake wa kiume ‘Broadus’ katika pozi

Rapa mkongwe wa marekani, Snoop Dogg amefanikiwa kupata mjukuu kutoka kwa mtoto wake wa kiume anayeitwa Corde Broadus.

Zion anakuwa mjukuu wa kwanza wa Snoop ambaye amezaliwa Jumatano iliyopita na mke wa Broadus aitwaye  Jessica Kyzer.

Snoop ame-show love kwa kushea picha za mke wake ‘Shante Taylor’ akiwa amembeba mjukuu wao katika ukurasa wake wa Instagram na kuandika,’Zion. U have a lot of love Waitn on u grandson!!”.

Snoop Son

Mtoto wa kiume wa Snoop, Broadus akiwa amelala na mtoto wake Zion ambaye ni mjukuu wa Rapa huyo

Mke wa Snoop akiwa amembeba mjukuu wao

Mke wa Snoop akiwa amembeba mjukuu wake

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s