JUX ATEASE VIDEO YAKE MPYA YA SISIKII

Juma JuxMwanamuziki wa Bongo Fleva, JUX  A.K.A mkali wa mitupio, ametease video yake mpya ya Sisikii kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram ambayo imeongozwa na dairekta Zed Benson aliyefanya video yake ya Nitasubiri.

Katika kipande kifupi cha video hiyo, kinamuonyesha Jux akigombana na usingizi wake wa sasa ‘Vanessa Mdee’ ambaye amecheza kama mpenzi wake, nisingependa nikuchoshe sana, fanya kuitazama hapo chini

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s