EX WA NICK MINAJ AFUNGUKA SABABU ZA KUVUNJIKA KWA PENZI LAO

Nicki Minaj na Ex Wake  Safaree Samwel

Nicki Minaj na Ex Wake Safaree Samuels

Aliyekuwa mpenzi wa Rapa Nicki Minaj, Safare Samuels amefunguka mambo mengi kuhusiana na kuvunjika kwa mahusiano yao ya kimapenzi yaliyodumu kwa takribani miaka 11 katika interview aliyofanyiwa na mtangazaji Angie Martinez wa Power 105.1 kwenye kipindi cha The Breakfast Club.

Safaree amesema dharau imechangia kwa kiasi kikubwa kwenda mrama kwa penzi lao ikiwemo Nicki Minaj kumchukulia kama kijakazi  na si kama mpenzi wake.

It just got to the point where the respect was gone. Everyone around her works for her. So it got to the point where I was like, ‘I’m your man. I’m the one you go to sleep with every night”, alisema Safaree na kuongeza, I’m who you wake up with every morning.’ It got to the point where I was being treated like an employee instead of her man”.

Aidha Safaree amesema kwamba alikuwa akipata wakati mgumu pale alipokuwa akimshuhudia laaziz wake huyo akifanya mambo ya chumbani na wanamuziki wenzake mbele ya macho yake.

“As far as the ‘Only’ song, that’s something that people on the outside take more disrespect than I did. I don’t know maybe I’ve been dealing with it for so long that it kind of seemed like the norm to me. I got numb to it. I could probably feel a way about it and get over it and it is what it is and I just keep on moving.”

Pia amedai alikuwa akimsaidia kumuandikia mashairi diva huyo wa Young Money katika nyimbo zake ingawa Minaj mwenyewe amewahi kunukuliwa akikanusha kuandikiwa mashairi.

Don’t say I have no talent because every time it came to writing raps and doing  music, it was me her and the beat. She doesn’t do it by herself. It’s me and her. So it’s like, don’t discredit what I’ve done for you. That’s weak. I would never do that to her”. alisema Safaree

Kwa kumalizia Safaree amesema hajisikii vibaya kuona Nicki Minaj akiwa mikononi mwa mwanaume mwingine kwa sababu ni yeye ndiye mwenye maamuzi ya kuchagua mtu wa kuwa nae kimapenzi baada ya kuwepo kwa tetesi za uhusiano kati yake na Rapa Meek Mill.

If that’s who she decides to move on with then it is what it is. I’m not mad. I’m not bitter because if I wanted to make it work, I could have made it work.”

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s