TANZIA : MSUMBIJI WATANGAZA MAOMBOLEZO YA SIKU TATU

Pichani ni Rais wa sasa wa Msumbiji Armando Guebuza

Pichani ni Rais wa Msumbiji Armando Guebuza

Serikali ya msumbiji imetangaza maombolezo ya siku tatu kufuatia vifo vya watu 69 waliokufa baada ya kunywa pombe ya kienyeji inayodaiwa kuwa na sumu ambayo ni nyongo ya mamba wakiwa katika msiba nchini humo.

Katika maombolezo hayo serikali hiyo imeamuru bendera zote nchini humo kupepea nusu mlingoti huku ikiahidi kuwapa tiba stahili waathirika wa pombe hiyo na kuwasaka watu waliohusika katika kuweka sumu kwenye pombe hiyo ingawa mmoja kati ya watu hao tayari amekufa.

Baadhi ya waathirika wa pombe hiyo iliyotengenezwa kwa mtama na mahindi na kuchanganywa na kinachosadikiwa kuwa ni sumu ya nyongo ya Mamba bado wamelazwa katika hospitali za nchi hiyo kwa ajili ya uangalizi wa afya zao sambamba na ,tiba.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s