RAIS FRANNCOIS HOLLANDE WA UFARANSA AHUDHURIA MAZISHI YA WACHORA VIBONZO WA CHARLIE HEBDO

Franncois Holland Charlie Hebdo

Rais Franncois Holland akitoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yenye miili ya mapolisi waliouwawa katika shambulio

Mazishi ya wachora vibonzo saba wa jarida la Charlie Hebdo waliouwawa wiki iliyopita, yamefanyika mjini Paris Ufaransa huku watu wengine waliouwawa katika duka nchini humo wakitajwa kuzikwa mjini Yerusalem.

Aidha katika mazishi ya polisi waliouwawa katika mashambulizi hayo yamefanyika maziko ya heshima ambayo pia yamehudhuriwa na Rais Franncois Hollande.

Wiki iliyopita Ufaransa iligubikwa na mshtuko na taharuki kwa siku tatu wakati ndugu wawili waliposhambulia jarida la Charlie Hebdo kutokana na hasira kwamba jarida hilo limekuwa likikejeli dini ya kiislamu.

Rais  Franncois Holland

Rais Franncois Holland wa Ufaransa akipigiwa saluti na maafisa polisi nchini humo wakati alipohudhuriwa mazishi ya polisi waliouwawa katika shambulio

 

Cherlie Hebdo

Majeneza yenye miili ya waandishi habari wa jarida la Charlie Hebdo ambayo imetajwa kuzikwa mjini Yerusalem

Charlie Hebdo

Waombolezaji wakiwa na nyuso za huzuni

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s