RAY J AENDELEA KUICHOKONOA NDOA YA KIMYE

Kanye Kim Ray JMkali wa miondoko ya R&B na kaka wa mwanamuziki Brandy, Ray J bado ameendelea kuichokonoa ndoa ya Kim na kanye ‘KIMYE’ baada ya kutangaza dau la kununua nyumba katika mtaa wanapoishi mastaa hao.

Ray J na meneja wake, David Weintraub, wameripotiwa na mtandao wa TMZ kutangaza dau la dola milioni 2.7  katika nyumba moja iliyopo mtaa huo Ijumaa iliyopita baada ya kuithaminisha.

 Hata hivyo Ray J amesema amekuwa akiishi katika mtaa huo kwa muda mrefu kuliko Kim ambaye ni muhamihaji. 

Kipindi cha nyuma Ray J na Kim waliwahi kuwa wapenzi kabla ya mkanda wao wa ngono  kuvuja mtandaoni.  

Mwaka juzi, Ray J aliachia ngoma inayoitwa  ”I Hit it first” ambayo ilikuwa inazungumzia jinsi alivyovunja amri ya sita na Kim kabla ya kutua kwa Kanye.  Wacha Muvi iendelee

Ray J na meneja wake wakitoka kuukagua mjengo walionunua

Ray J na meneja wake wakitoka kuthaminisha mjengo waliotangaza dau la dola milioni 2.7 

Ray J na Kim enzi hizo

Ray J na Kim enzi hizo

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s