HUDDAH SI LOLOTE SI CHOCHOTE…ANAISHI KWA KUUZA MWILI ASEMA KIBOPA WA UGANDA

Huddah Monroe The BossKibopa mmoja wa Uganda anayefahamika kwa jina la King Lawrence, ameendelea kutafuta kiki zaidi katika mtandao wa Instagram baada ya kumgeukia mshiriki wa shindano la Big Brother kutoka Kenya, Huddah Manroe na kudai kuwa fujo zote anazofanya mtandaoni ikiwemo kupiga picha kwenye mahoteli makubwa  na magari ya kifahari ni mjini msingi kiuno.

Lawrence ambaye hivi karibuni alimshambulia Mfalme wa Bongo Fleva, Diamond baada ya kumtaka aachane na mpenzi wake wa sasa Zari kwa mtangazia dau la milioni 40 za kibongo, amesema alimkatia tiketi ya ndege daraja la kwanza na kumpangia hoteli ya nyota tano mwanadafada huyo sambamba na kumlipa fedha juu kwa ajili ya kuvunja nae amri ya sita  mwezi Desemba mwaka jana.

Hata hivyo Huddah mwenyewe amekanusha vikali tuhuma hizo, licha ya ushahidi wa picha zikiwaonyesha wakiwa  katika mapozi ya kichokozi na kudai kuwa alimfahamu kibopa huyo kupitia rafiki yake na hata hizo picha ni yeye ndiye aliyemuomba kupiga nae akidai kuwa ni mmoja wa mashabiki wake.

Huddah X King Lawrence

Huddah na Lawrenc katika mapozi tofauti ya kichokozi kabla ya maelewano ya bei

Huddah Monroe

Picha ambayo ame-post Lawrenc akidai kuwa hapo ni baada ya kuvunja amri ya sita

King Lawrenc

Dangote

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s