PICHA ZA MAZISHI YA MTOTO WA RAILA ODINGA

Mtoto wa aliyekuwa waziri mkuu mstaafu wa kenya, Raila Odinga, Fidel Castro Makarios Odinga ambaye alifariki Dunia nyumbani kwake wiki moja iliyopita, hatimaye amezikwa jumamosi iliyopita katika shamba la familia ya Odinga na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa serikalini.

Fidel Odinga6

Ndugu na jamaa wa karibu wakishusha jeneza lenye mwili wa marehemu Fidel Odinga kwa ajili ya kutolewa heshima za mwisho

 

Fidel Odinga4

Jeneza lenye mwili wa marehemu Fidel Odinga

 

Fidel Odinga3

Magari ya kubebea wafiwa kwa safari ya kuelekea makaburini yakiwa katika mstari

Fidel Odinga  Fidel Odinga2   Fidel Odinga5 

Fidel Odinga1

Jeneza lenye mwili wa marehemu Fidel Odinga likiwa limewekwa kwa ajili ya kuagwa

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s