JE, BEYONCE NI MAMA KIJACHO??? ITAZAME PICHA HII

Beyonce na mumewe Jay Z huenda wakawa na mpango wa kumtafutia binti yao ‘Blue Ivy’ mdogo wake, baada ya malkia huyo wa Pop ku-post picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa amefukiwa na mchanga ufukweni huku sehemu ya tumbo ikiwa imetuna kama vile mama mjamzito.

Picha hiyo imezua maswali kwa mashabiki wanaotumia mitandao mbalimbali ya kijamii, wakihoji  huenda ikiwa ameamua kufanya hivyo ili watu wafahamu kuwa ni mama kijacho,  licha ya mwenyewe kutoandika chochote kwenye picha hiyo. Itazame hapo chini

Beyonce

beyonce akiwa ameachia tabasamu huku akiwa amefukiwa kwenye mchanga

A picture is worth a thousand words!!!

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s