SNOOP DOGG APATA MSALA BAADA YA KUPOST PICHA YA SHABIKI TATA MTANDAONI

Rapa mkongwe wa Marekani, Snoop Dogg amepata msala ambao unaweza ukamfanya awekwe nyuma ya nondo au kutozwa faini baada ya ku-post picha ya shabiki tata anayefanana nae kwenye ukurasa wake wa  Instagram hali iliyopelekea followers wake kutoa comment ambazo hazikumpendeza muhusika.

Snoop Dogg

Picha aliyo-post Snoop kwenye ukurasa wake wa Instagram

Shabiki huyo aliyefahamika kwa jina la Cortez Booz ameonyesha kukasirishwa na kitendo cha rapa huyo kuweka picha iyo pasipo idhini yake na kusema kuwa anampango wakumfungulia mashtaka kwa udhalilishaji huo.

Hii sio mara ya kwanza kwa Snoop kufanya kitendo kama hicho cha udhalilishaji, baada ya mwaka jana kumuomba msamaha Rapa wa Kike Iggy Azalea kufuatia ku-post picha ya mwanadada mwenye ulemavu wa ngozi iliyokuwa imeandikwa, Iggy Azalea No Make up.

Advertisements

One thought on “SNOOP DOGG APATA MSALA BAADA YA KUPOST PICHA YA SHABIKI TATA MTANDAONI

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s