DRAKE AANIKA GHETTO LAKE ..NISHEDAH

Drake amewaonyesha mashabiki wake ni jinsi gani anavyouzimikia mchezo wa mpira wa kikapu baada ya kushea picha za chumba chake kwenye mtandao wa Instagram ambacho kina goli la basketball kwa ndani, mipira ya kuchezea na mazaazaga mengine kibao kwenye mjengo wake uliopo jijini Los Angels nchini Marekani.  Kitazame hapo chini

Drake Room

Muonekano wa chumba cha Drake kwa ndani

Drake Room1

Drake akimtazama rafiki yake akirusha mpira kuelekea kwenye goli la basket ndani ya chumba chake

 


 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s