VIDEO : RAPA KEVIN GATES ACHEZEA VITASA BAADA YA KUMKISS MCHUMBA WA MTU

Kevin Gates LAHitmaker wa I Don’t Get Tired, Kevin Gates amejikuta akichezea ngumi za uso baada ya kumkiss shabiki wake wa kike ambae alikuwa ameongonaza na jamaa yake.

Kwa mujibu wa video ya tukio hilo inamuonyesha Rapa huyo wa Chiraq akirushiwa ngumi ya ghafla na mwenye mali kabla ya mabaunsa wake kuingilia kati katika show yake hivi karibuni. 

Awali Gates aliwahi kunukuliwa akisema kuwa anapenda kufanya mapenzi  kwa njia ya mdogo katika moja ya interview alizofanyiwa na Revolt Tv na huenda hiyo ikawa ni sababu mojawapo ya mwenye mali kutohafiki kitendo chake hicho.  Tazama ilivyokuwa hapo chini


 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s