SAPRAIZ : LUDACRIS AFUNGA NDOA NA MCHUMBA WAKE

Rapa mzaliwa wa Atlanta Marekani, Christopher Brian Bridges ‘Ludacris’  na mchumba wake wa muda mrefu ‘Eudoxie’ wameripotiwa kufunga pingu za maisha Kristmas ya pili mwaka jana.

Ludacris & Eudoxie

Mr & Mrs Bridges katika pozi baada ya sapraiz ya ndoa

Kwa mujibu wa mitandao mbalimbali ya udaku ukiwemo wa TMZ, umeripoti kuwa harusi iyo ilikuwa ni kama sapraiz ambayo iliandaliwa na Luda pamoja na mama yake ambao walikuwa  wameandaa eneo la sherehe, gauni la bibi harusi na maua.

Luda alim-sapraiz mchumba wake baada ya kutoka kupata dinner kwenye mgahawa wa Georgia uliopo Atlanta na waliporejea nyumbani walikuta gauni la bibi harusi likiwa limening’nizwa na  kuanza kusherekea na wageni wachache waalikwa wakiwemo ndugu, jamaa na marafiki wa karibu pasipo kuvalishana pete.

Wiki mbili zilizopita staa uyo wa Fast & Furious alimchumbia mpenzi wake uyo wakiwa kwenye ndege binafsi ya kukodi baada ya kumuonyesha maneno yaliyokuwa yameandikwa kwenye maua  ”Eudoxie will you marry me?” wakati ndege iyo ikiruka wakielekea  mapumzikoni Costa Rica .

Luda & Eudoxie LUDA & EuDoxie1

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s