KIPA WA ARSENAL APIGWA FAINI YA PAUNDI 20,000 KWA UVUTAJI WA SIGARA

Mlinda mlango wa kikosi cha kwanza cha washika mtutu wa jiji la London ‘Arsenal’, Wojciech Szczęsny  amepigwa faini ya paundi 20,000 za Uingereza kwa kitendo chake cha kukutwa akivuta sigara muda mfupi baada ya kupoteza mchezo wa ligi kuu dhidi ya Southampton.

Baada ya Wojciech Szczesny kufumwa na kamera za mapaparazi akivuta sigara

Baada ya Wojciech Szczesny kufumwa na kamera za mapaparazi akivuta sigara

Kufuatia kitendo cha mlinda mlango huyo, meneja wa klabu iyo Arsenal Wenger ameamua kumpa adhabu hiyo kuwa fundisho la kufanya atambue uwajibu wake kwenye klabu.

Msala kama huo wa uvutaji sigara uliwahi kumkumbuka kiungo wa kimataifa wa klabu iyo, Jack Wilshare pamoja na nahodha wa zamani ‘William Gallas’  ambapo picha zao zilitolewa kwenye vyombo vingi vya habari.

Wojciech Szczęsny akiwa kazini

Wojciech Szczęsny akiwa kazini

Jack Wilshare

Jack Wilshare akivuta sigara na rafiki zake jijini Las Vegas, Marekani kwenye pool Party Julai mwaka jana

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s