TIMAYA AUNZA MWAKA MPYA NAMNA HII

Mwaka jana umeonekana kumtendea haki mkali wa dancehall kutoka Nigeria, Timaya baada ya kujipongeza kwa kununua mkoko wa kifahari aina ya Lexus Jeep pamoja na kuuonyesha mjengo wake mpya uliopo eneo la Bonny Island jijini Lagos.

Timaya GhorofaTimaya ali-post picha za mjengo na mkoko wake kwenye ukurasa wake rasmi wa Instagram na kuwashukuru  mashabiki, madj na media zote zilizochangia mafanikio yake.

Timaya LexusAm so so so so so happy am still in d game, still strong and relevant. I just wana thank GOD,my fans,all d DJ’s,media houses…and to all my HATERS Pls stay tuned cause we still ave a lot more coming 2015. Amen. Am fresh like my new whip!!! Kill ur self”, aliandika Timaya.

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s