MAYWEATHER AANIKA NDINGA ZA KIFAHARI ANAZOMILIKI NA PRIVATE JET JUU

Celebrities Attend The New Orleans Pelicans Vs New York Knicks Game - December 1, 2013Bondia wa Marekani asiye na rekodi ya kupigwa hata pambano moja, Floyd Mayweather Jr ameonyesha kufuru ya hela baada ya kuanika magari yake ya kifahari na ndege binafsi anayomiliki.

Mayweather Jr mwenye umri wa miaka 36 ambaye anakadiriwa kuwa na utajiri unaofikia dola milioni mia nne, ali-post picha za mali zake hizo zenye jumla ya thamani ya dola za kimarekani milioni 37.3   kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook na kuandika Welcome to my World.

Magari hayo ni pamoja na Bugatti Veyron tatu zenye thamani ya dola milioni 2 kila moja, Ferrari Spider mbili zenye tthamani ya dola laki 250 kila moja, Ferrari 599 GTB Fiorano yenye thamani ya dola laki 3, lamborghini Aventador moja yenye thamani ya dola laki 4 na Porsche 911 Turbo S yenye thamani ya dola laki 1 na 80.  Yatazame Hapo chini

Mayweather Jr.Mayweather Jr

Advertisements

One thought on “MAYWEATHER AANIKA NDINGA ZA KIFAHARI ANAZOMILIKI NA PRIVATE JET JUU

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s