TORRES ATAMBULISHWA RASMI ATLETICO MBELE YA MASHABIKI ZAIDI YA AROBAINI NA TANO ELFU

Fernando Torres 1Mshambuliaji wa Hispania, Fernando Torres ametambulishwa mbele ya mashabiki zaidi ya 45,000 wa Atletico Madrid katika dimba la Vicent Calderon wakati akisubiri kukamilisha uhamisho wa mkopo kutoka klabu ya Ac Millan baadae leo dirisha litakapokuwa wazi.

Torres mwenye miaka 30, amesema mara zote anapozungumzia Atletico ni kama anazungumzia  familia yake hivyo hupata moyo wa kujituma zaidi.

Muhispania uyo maarufu kama El Nino alianza kuichezea rasmi Atletico Madrid  akiwa na umri wa miaka 17 na alivyofikisha miaka 19 alipewa unahodha wa timu iyo ambayo aliifungia mabao 91 katika michezo 244 aliyochezea Atletico Madrid.

Fernando Torres mashabiki

Mashabiki nazi wa Atletico Madrid wakiwa nje ya uwanja wa Vicent Calderon wakijiandaa kuingia kumuona Torres

Fernando Torres na watoto wake

Fernando Torres na watoto wake kwenye uwanja wa Vicent Calderon wakati wa utambulisho

Fernando Torres

Torres akifanya manjonjo mbele ya mashabiki zaidi ya 45,000

Torres Fernando

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s