JENGO LA GHOROFA SITA LAPOROMOKA NA KUUA WATU WATATU KENYA

 

Kenya Huruma House1Watu watatu wameripotiwa kupoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa wikiendi iliyopita(Jan.04) kufuatia kuporomoka kwa jengo la ghorofa 7 nchini Kenya. majira ya saa 7:00 usiku.

Vikosi vya uokoaji vimeendelea na zoezi la kuondoa  mabaki ya jengo hilo ambalo ujenzi wake ulikuwa unaendelea. 

Polisi nchini Kenya wanasema uchunguzi umeanza kufanyika ili kujua chanzo cha kudondoka kwa jengo hilo na baadae watatoa tamko juu ya hatua zitakazochukuliwa kwa wahusika.

Kwa mujibu wa habari, majeruhi 35 wameruhusiwa kutoka hospitali baada ya kupatiwa matibabu.

Kenya Huruma1

Kikosi cha uokoaji na wasamaria wema wakishirkiana kuondoa mabaki kwenye jengo la Huruma

Kenya Huruma House Collapse

Waokoaji wakiondoa vifusi

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s