HIKI NDICHO WALICHOKIFANYA MASHABIKI WA YG BAADA YA ALBAMU YAKE KUTOSWA KUWANIA TUZO ZA GRAMMY

YG6Mashabiki wa Rapa wa Compton ‘YG’ wameandamana  mpaka katika ofisi za Grammy Museum zilizopo Downtown, Los Angels wakiwa wamebeba mabango kupinga kitendo cha albamu ya rapa uyo, ”My Krayz Life”, kutoswa kuwania Tuzo za Grammy katika kipengele cha albamu bora ya Rap.

Halikadhalika Mashabiki wengine wamefunguka kwenye mtandao wa Twitter wakiwalalamikia waandaaji wa Tuzo hizo kuichinjia majini albamu ya rapa uyo ambayo  imepata kuwa miongoni mwa albamu bora zilizofanya vizuri mwaka jana.

 YG mwenyewe amekanusha kwenye ukurasa wake wa Twitter  kuwatuma watu hao kufanya maandamano.

Damn. This Brazy, my fans protesting about a nigga not bein Grammy nominated. I ain’t tell Em do this doe”, aliandika YG.

YG vq6jqo3qd2fa3ioutvfa b6eefyhiuaerna3 b6eat_oiuaetmot

   

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s