GODZILLA : NITASHEREKEA BIRTHDAY SIKU NIKIMNUNULIA MAMA YANGU GHOROFA

GodzillaMwanamuziki wa Hip-Hop Bongo, Godzilla ambaye amezaliwa Tarehe na mwezi kama wa leo, amefunguka   juu ya suala zima la kusherekea birthday kama vile wanavyofanya mastaa wengine.

Akichezesha taya zake kwenye Juzi jana na leo ya Clouds Fm leo asubuhi, mkali uyo wa ku-freestyle amesema kuwa atasherekea birthday mpaka siku atakapomnunulia mama yake ghorofa.

kuna siku mama yangu aliniletea makeki kilazima, mimi nikamwambia no! Nita-celebrate birthday siku nikikununulia mama yangu ghorofa au tumekaa kwenye sehemu nzuri, sio sasa hivi hatuna haja ya kusherekea kwa kuwa bado tuna-hustle”, alisema Godzilla.

Aliongeza : ”I never done a birthday in my life, i used to celebrate tu na wanangu kitaani, getting high kidogo, kufurahi na mother, am gud

Aidha amesema kwamba huwa anasherekea birthday sio kwa sababu ya siku ya kuzaliwa bali ni kutokana na kuongeza umri mwingine wa kusherekea busara ingawa matatizo yanaongezeka lakini yupo tayari kukabiliana nayo. 

Happy B’day King of Salasala

GODZILLA

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s