USHER CHUPUCHUPU APOTEZE JICHO AKIMTETEA MCHUMBA WAKE

Usher Raymond na mpenzi  wake Grace Miguel katika pozi

Usher Raymond na mpenzi wake Grace Miguel katika pozi

Mwanamuziki nguli wa miondoko ya R&B kutoka marekani, Usher Raymond amenusurika kupoteza jicho lake la kulia kwenye  mkesha wa kuupokea mwaka mpya.

Habari zinasema kuwa mwanamuziki huyo alimtembezea kichapo kijana mmoja wa kizungu aliyekuwa akimtolea maneno ya kashfa mchumba wake aitwaye Grace kwa kumwita mbaya, kitendo kilichomchukiza Usher na kuanza kumshambulia kijana uyo eneo la VIP kwenye klabu moja ya usiku jijini Miami na kupelekea jicho lake kuvilia damu.

Mapema Wiki hii Usher alimchumbia mpenzi wake uyo wa muda mrefu ambaye pia ni meneja wake baada ya kutalikiana na mama watoto wake Tameka Foster.

Usher

Usher Raymond baada ya ku-post picha ya jicho lake la kulia kwenye mtandao wa Instagram

Usher1

Kamera za mapaparazi ziliweza kumnasa Usher akiwa mitaa ya Beverly Hills akipiga shopping huku jicho lake hilo likiwa jekundu kutokana na ugomvi

Advertisements

One thought on “USHER CHUPUCHUPU APOTEZE JICHO AKIMTETEA MCHUMBA WAKE

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s