MADONNA ASHAMBULIWA MTANDAONI KWA KUTUMIA PICHA ZA MANDELA NA MARTIN LUTHER KING KUPIGIA DEBE ALBAMU YAKE

MadonnaMalkia wa muziki wa Pop Duniani, Lady Madonna ameshambuliwa  mtandaoni kwa kitendo chake cha kutumia picha za Mandela na Martin Luther King, Jr kuipigia debe albamu yake.

Baadhi ya watumiaji wa mtandao wa Twitter wamemshtumu Madonna kwa kitendo chake hicho cha kujifananisha na kutumia picha za  wapigania uhuru hao wa watu mweusi kama  sehemu ya kufanyia promo albamu yake iitwayo Rebel Heart.

Baada ya kuona hali ya hewa imechafuka, Madonna alilazimika kutumia ukurasa wake wa Facebook kuwaomba radhi mashabiki  na kudai hakudhamiria kuwadhihaki na isitoshe sio yeye ambaye alizitengeneza  picha hizo bali ni mashabiki wake na yeye alifanya kuzi-repost tu.

“I’m sorry, I’m not comparing my self to anyone, I’m admiring and acknowledging there Rebel Hearts.  This is niether a crime or an insult or racist!
I also did it with Michael jaclson and frida khalo and marilyn monroe, Am I saying I am them”, aliandika Madonna

Aliongeza : ”NO I’m saying they are Rebel Hearts too. And I didn’t do it My fans did And I just re posted those photos My fans aren’t racist either If they put me in the same category as these other people Thank you. I’m very flattered and I hope one day to live up to 1 100th of what those people accomplished”.

Unaweza ukatazama hapo chini kuona picha hizo na Tweets walizoandika watu wenye misimamo mikali kumpinga Madonna kwa kitendo chake.

Martin Luther King Jr Nelson MandelaTweets

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s