HII NDIO ORODHA YA WATU 10 MAARUFU BONGO WALIOFANIKIWA KUONGEZA VITAMBI MWAKA 2014 KIBURUDANI ZAIDI

Mtangazaji wa kipindi cha XXL, Adamu Mchomvu ametoa orodha ya watu 10 maarufu hapa Bongo waliofanikiwa kuongeza vitambi kwa mwaka  2014 kwa kutumia vigezo vya picha zao walivyokuwa hapo awali na sasa.  Katika Orodha iyo wapo wanamuziki, mameneja, wasanii wa filamu na wanasiasa.  Utazame mkeka kamili hapo chini

(10). Raymond Mshana  

Mtangazaji wa Clouds Fm

Ray Mshana

(9). Adam Juma  

Muongozaji wa video NA Filamu(Dairekta) 

adam Juma

(8). BABU TALE 

MENEJA WA WANAMUZIKI

Babu Tale

(7).  KASSIM MGANGA 

MWANAMUZIKI WA BONGO FLAVA

Kassim Mganga

(6). PROFESSOR JAY  

MWANAMUZIKI WA HIP-HOP BONGO

Professor Jay

(5). MATONYA 

MSANII WA MUZIKI WA BONGO FLAVA

Matonya

(4). OTHMAN SUKA 

MENEJA WA KITENGO CHA MUZIKI NA RATIBA KUTOKA CLOUDS FM

Othman Suka

(3). SAIDI FELLA

MENEJA WA WANAMUZIKI BONGO

Saidi Fella

(2).  JACCOB STEVEN ‘JB’ 

MSANII WA FILAMU BONGO

Jaccob Steven 'JB'

(1).  KAPTENI JOHN KOMBA

MWANASIASA WA TANZANIA

SAMSUNG DIGITAL CAMERA

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s