SQUEEZER AELEZEA CHANGAMOTO ALIZOPATA KUTOKA KWA WAZAZI WAKE KIPINDI ANAANZA KUFUGA RASTA

Squeezer1Rapa mkongwe wa Bongo ambaye pia ni kaka wa Rapa wa kike Dataz, Squeezer amefunguka kupitia kipindi cha X-Ray kinachorushwa hewani na EFM Radio juu ya changamoto alizizopata kutoka kwa wazazi wake kipindi alipoanza kufuga rasta.

Kipindi nafuga hizi dred kwa mama haikuwa tabu kwa sababu yeye mwenyewe anapenda nywele pia, ila kwa mzee(baba) ilikuwa tabu japokuwa sasa hivi amezoea”, alisema Squeezer na kuongeza kuwa kwa sasa hamna tena tatizo kwenye familia yake.

japokuwa nilishakuwa na rasta mwanzo nikakata na sasa nimetonsi zingine lakini sasa hivi hamna tena tatizo kwenye familia. alisema Squeezer

Advertisements

One thought on “SQUEEZER AELEZEA CHANGAMOTO ALIZOPATA KUTOKA KWA WAZAZI WAKE KIPINDI ANAANZA KUFUGA RASTA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s