NEW YEAR! NEW HAIR STYLE! CHRIS BROWN AANZA MWAKA NA MTINDO MPYA WA NYWELE

Mwanamuziki wa R&B anayekimbiza kwa swaga, Chris Brown ameuanza mwaka 2015 kwa  kuja na mtindo mpya wa nywele aina ya dreadlocks kama walizonazo rafiki zake Wizkid na Wiz Khalifa. 

Aidha Brown ameutumia ukurasa wake wa Instagram kutangaza ujio wa albamu atakayoshirikiana na Tyga baada ya kupost picha wakiwa wawili na kuandika “FAN OF A FAN ALBUM #2015” ikiwa ni wiki mbili kupita tangu waachie ngoma waliyofanya pamoja inayoitwa Ayo.

Chris brown1

Chris Brown akiwa na muonekano mpya wa nywele ‘Dreadlocks’

Chris Brown

Chris brown  na Tyga katika pozi

Wizkid

Wizkid akiwa na dread kama alizosokota Chris Brown

Wiz Khalifa na Dreads zake alizozipa rangi ya pink

Wiz Khalifa na Dreads zake alizozipaka rangi ya pink

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s