PICHA : DAVIDO ASHEREKEA MWAKA MPYA NA FAMILIA YAKE JIJINI DUBAI

Staa wa owo ni koko, Davido amesherekea mwaka mpya pamoja na familia yake akiwemo baba yake mzazi Chief Deji Adeleke, dada yake Sharon na kaka yake Waleย  jijini Dubai.

Davido ali-post picha kwenye ukurasa wake rasmi wa Instagram akiwa katika pozi na familia yake na kuandika, ENTERING THE NEW YEAR WITH MY FAMILY!! BEST DAD IN THE WORLD!! ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏโœŒ๏ธ๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰”.

Davido Dubai

Davido, baba yake(Wa katikati) na ndugu wa karibu

Davudo Show dubai

Mbali na kuupokea Mwaka mpya, Davido aliweza kuangusha shoo ya nguvu jijini Dubai(Dec.02)

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s