YG, DJ MUSTARD WAZIKA TOFAUTI ZAO

YG Dj MustardSiku mbili zilizopita Blogu ya Larrybway91 iliandika kuhusiana na kuzuka kwa vita ya maneno kwenye mtandao wa Instagram baina ya Rapa YG na Dj Mustard kwa sababu za kimaslahi.

Mastaa hao wameamua kuweka kando tofauti zao kwa kupost picha kwenye mitandao ya kijamii wakiwa wameegemea magari mawili aina ya Rolls Royce kama wanavyoonekana hapo juu na nyingine wakiwa wanachezea hela kitendo kilichotafsiriwa kuwa hakuna tena bifu kati yao.

Dj Mstard na YG wakuchezea fwedha

Dj Mustard na YG wakichezea fwedha

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s