STEVEN GERRARD KUIHAMA LIVERPOOL MWISHONI MWA MSIMU

Steven Gerrardkiungo wa kimataifa wa Uingereza, Steven Gerrard ametangaza kukihama kikosi cha Liverpool mwishoni mwa msimu huu wa 2014 -15.

Uamuzi wa Gerrard umepongezwa na wachezaji wenzake ambao wamemtakia kila la kheri katika safari yake huku taarifa kutoka ndani ya klabu iyo zikisema kuwa lengo la mchezaji huyo sio kutaka kustaafu bali ataendelea kusakata kabumbu nje ya Uingereza ili isiweze kumrudisha kwenye ushindani wa moja kwa moja na Liverpool.

Mpaka sasa Gerrard mwenye umri wa miaka 34 amekwisha ichezea klabu yake iyo michezo 695 akiwa ameifungia jumla ya mabao 180 katika kipindi cha miaka 17 tangu ajiunge nao mwaka 1998 sambamba na kuisaidia kunyakua makombe  mbalimbali ikiwemo klabu bingwa barani Ulaya, ligi kuu, mataji mawili ya FA na mengine kibao.

This has been the toughest decision of my life and one which both me and my family have agonised over for a good deal of time”.  I am making the announcement now so that the manager and the team are not distracted by stories or speculation about my future‘, alisema Gerrard ambaye amekuwa kapteni wa majogoo hao wa jiji la London kwa takribani miaka kumi na mbili.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s