NIKKI MBISHI ATANGAZA KUACHA MUZIKI

Nikki MbishiRapa Nikki Mbishi wa Tamaduni Muzik ameuanza mwaka mpya kwa kutangaza kuachana  na gemu la muziki baada ya kuandika tweets nyingi leo kwenye ukurasa wake wa Twitter kuhusiana na uamuzi wake huo.

I’m glad to say I’ve officially decided to quit music….Wishing all the best to the slaves and victims of Music industry. #2015”, aliandika Mbishi na kusema kuwa ataziachia bure track zake zote zilizopo studio ambazo  hazijatoka.

Nitaziachia tracks zangu zote ambazo hazijatoka for free then SITOINGIA TENA STUDIO kufanya wimbo(MUZIKI BASI) #My_decision_2015”, alifunguka Mbishi kwenye mtandao wa Twitter.

Rapa uyo amesema atabakia kuwa shabiki wa muziki kutokana soko la muziki wa Bongo kuwakandamiza wanamuziki wenye vipaji na uwezo huku akiwakumbuka washikaji zake waliotangulia mbele za haki akiwemo Ngwair, Langa, Geez mabovu na wengineo.

 Unaweza ukatazama Tweets alizoandika Nikki Mbishi hapo chini

Tweets3TweetsNikki MbishiTweets2

 

 

 

 

Advertisements

2 thoughts on “NIKKI MBISHI ATANGAZA KUACHA MUZIKI

  1. Daa 2nasikitika kwa huo uamuzi wako nikk elewa fanz wako bado 2nakuitaji kweny game but ulivofikiria bas ndo ivo ila elewa shabiki zako bdo 2nakuitaj nikk badilsha uamuz wako

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s