IDADI YA WATU WALIOPATIKANA KWENYE MSAKO WA NDEGE YA AIR ASIA YAFIKIA 30

Air Asia  (5)Zoezi la kutafuta mabaki ya ndege ya Air Asia ya nchini Indonesia ambayo ilianguka baharini Jumapili iliyopita bado linaendelea.

Idadi ya miili iliyopatikana mpaka sasa inatajwa kufikia 30 kati ya 132 ambayo bado haijajulikana mahali ilipo huku miili 5 ikitajwa kupatikana ikiwa imenasa kwenye viti vya ndege iyo.

Mabaki ya ndege iyo aina ya Airbus A320-200 iliyokuwa imepakia watu 162 yalipatikana chini ya bahari ya Java nchini Indonesia huku vifaa vya kisasa vya kuisaka miili ya abiria  waliopotea vikiwa vimeshapelekwa eneo hilo.

Timu ya uchunguzi kutoka Ufaransa imesema itatumia vifaa vya kisasa kujaribu kuitafuta mahali ilipo.  

Ndege ya Air Asia ilikuwa ikiruka kutoka mjini Surabaya nchini Indonesia kuelekea nchini Singapore kabla ya kupoteza mawasiliano na mkonga wa kuongozea ndege.

Air Asia  (2)

Kikosi cha uokoaji kikijaribu kuokoa miili ya abiria waliopotea kwenye ndege ya Air Asia bahari ya Java

Air Asia  (3)

Wanajeshi wakipakia miili ya watu waliopatikana kwenye ndege ya kivita kuelekea mjini surabaya nchini Indonesia

Air Asia  (4)

Wanajeshi wakiwa wameibeba miili iyo kiheshima baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Indonesia

Air Asia  (1)

Mwandishi wa habari akipita katikati ya miili ya abiria waliopatikana kutoka kwenye ndege ya Air Asia chini ya bahari ya Java

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s