VIDEO : FAITH EVANS AKANUSHA KUCHEPUKA NA 2PAC

2pac & FaithMke wa marehemu Notorius B.I.G, Faith Evans amefunguka mambo mengi kuhusu uhusiano aliokuwa nao na Rapa 2pac wakati alipofanyiwa mahojiano na Vlad Tv.

Katika mahojiano hayo, First lady uyo wa kwanza wa Bad Boy Entertainment alielezea jinsi alivyopata wakati mgumu baada ya kufanya ngoma na marehemu 2pac bila kujua kama alikuwa yupo chini ya lebo ya Death Row ambayo walikuwa hawapikii chungu kimoja na lebo yake.

It was a bad choice, but I didn’t know that until then. Had I known the things I know I definitely would not have done the song with him or anyone Death Row”, alisema Evans kwenye mahojiano na kuongeza, “I went to the studio and saw a lot of Death Row people, I played it off and played it cool even though I didn’t think that was a good look, just because of the fact of the Suge and Puff situation.”

Aidha alisema kuwa katika kipindi hicho alikuwa akimdai 2pac dola 25,000 kama sehemu ya malipo kwenye ngoma waliyofanya studio hivyo kumlazimu kwenda katika chumba cha hoteli aliyokuwepo, ndipo aliposhtushwa na ombi la rapa uyo aliyekuwa akimtaka wafanye ngono ya mdomoni.

Licha mashabiki na  2pac mwenyewe kukiri kwenye ngoma yake ya Hit Em up kuvunja nae amri ya sita, Faith Evans ameendelea kushikilia uzi kwa kukanusha habari hizo na kudai alichokifuata chumbani kwa mkali uyo ilikuwa ni hela aliyokuwa akidai na si kitu kingine.

In a very surprising, and offensive way, for sure.  By that time I think it was pretty clear to me that that was kind of like a plan. Like, ‘You’ve been got.’ I allowed myself to be played and get into this situation, because this is totally not how I operate. That ain’t how I do business and that was not up for discussion. I was in LA to make my money. I’m very much about the coins” alisema Evans.

Faith Evans alitangaza mwezi Novemba mwaka jana kwamba yupo mbioni kuachia albamu akiwa ameshirikiana na marehemu mumewe, Notorious BIG, iitwayo King & I.  Yatazame mahojiano hayo hapo chini


Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s