TIWA SAVAGE NI MAMA KIJACHO

Tiwa Savage na Tee BillzMkali wa  miondoko ya Afropop kutoka Nigeria, Tiwa Savage na mumewe ‘Tee Billz’ wameuanza mwaka 2015 vizuri wakiwa na matarajio ya kumkaribisha memba mpya kwenye familia yao siku za usoni.

Tiwa Savage ambaye kwa sasa ni  mama kijacho alipost picha kwenye ukurasa wake rasmi wa Instagram akiwa amekumbatiwa na mumewe eneo la Tumboni huku akiwa ameshika viatu vya mtoto mdogo na kuandika,2015….Just the 3 of US…❤️ #AllGloryToGod”.

Awali wanandoa hao waliwahi kuripotiwa kutokuwa kwenye mahusiano mazuri hali iliyopelekea staa uyo wa Eminado kubadili meneja ambapo mwanzoni alikuwa akisimamiwa na mumewe.

Itakumbukwa mwezi Novemba mwaka jana Tiwa Savage alikanusha vikali tetesi za kuwa na ujauzito ila kwa sasa ameamua kuweka mambo hadharani.

Tiwa Savage akiwa amekumbatiwa na mumewe

Tiwa Savage akiwa amekumbatiwa na mumewe huku akiwa ameshika viatu vya mtoto mcdogo

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s