KICHUPA KIPYA : KID INK – HELLO WORLD [Official Video]

Kid Ink AlumniRapa Kid Ink ameamua kuwashukuru wale wote waliochangia mafanikio yake kwa mwaka 2014 baada ya kuachia video yake mpya inayoitwa Hello World ambayo imefanywa katika kipindi kizima cha mwaka jana wakati akiwa kwenye ziara yake ya muziki ya My Own Lane.

Hello World ni miongoni mwa ngoma zinazopatikana kwenye albamu yake ya Full Speed inayotarajia kuingia sokoni mapema March, 03 mwaka huu.  Itazame video yenyewe hapo chini

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s