ALLY KIBA AWAJIBU WALIOIPONDA VIDEO YAKE YA MWANA

AliKiba for ReallyBaada ya Ally Kiba kuachia Video yake mpya ya Mwana aliyoifanya nchini Afrika kusini na kampuni ya Godfather Productions kumepelekea kuzuka kwa makundi matatu yaliyokuwa yakiichambua video iyo.

Kundi la kwanza walidai video iyo haiko poa sana huku wengine wakisema haiendani na mashairi ya wimbo huo na kundi la mwisho lilidai kwamba eti! Dairekta wa video iyo ‘Godfather’ ameamua kuiharibu kwa maksudi.

Katika kukata mzizi wa fitna Ally Kiba aliweza kupatikana na kufunguka kupitia 255 ya Clouds fm na kujibu comments hizo za mashabiki kama ifuatavyo.

utofauti wa video ndio uzuri wake…kwa sababu kila mtu kwenye mind yake amejenga…video ame-create mwenyewe video imekuwa vipi..kwa sababu nyimbo imeelezea vitu vingi na ni pana kama unavyoona na inavitu vingi vile madawa, ma-prostitute hawa, aaah ukabaji, wizi yaani unajua ule ukora yaani vitu flani vingi sana kwaiyo nisingeweza vyote kuweka katika video kwa sababu kila mtu ana-mind yake, kwaiyo nilivyofanya utofauti nili-concetrate kwenye dancing na feeling za kuimba”, alisema Ally Kiba na kuongeza,”video nyingi zishafanyika Duniani sio ya kwangu tu…kwaiyo watu wasishangae vitendo havikuwepo …tumemaanisha sio kwamba tumefanya ili mradi tutoe video kwaiyo ule utofauti uliokuwepo ndio video yenyewe”.

Ahhh!! Professional ambao walifanya iyo video….aah!! kwa sababu production kubwa ilikuwa na watu wa script vile vile so walishauriana na sisi wakatuhusisha tukaweza kufanya iyo kitu.  Dancing style anaitwa Kalila ni Choregrapher wangu..ndio alifanya iyo yote kila kitu”, alisema Ally Kiba.  Itazame video iyo hapo chini

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s