YG, DJ MUSTARD WATOLEANA MANENO MBOFU MBOFU MTANDAONI

YG Dj MustardHitmaker wa My Nigga, Rapa YG ametoleana maneno mbovu mbovu na Dj Mustard kwenye mtandao wa Instagram kwa kile kilichotajwa kuwa ni masuala ya kimasilahi.

Inaelezwa vita iyo ya maneno ilizuka baada ya Dj Mustard kuwataka followers wake wasimuulize kuhusu YG kwa sababu hakupata hata senti tano kupitia mauzo ya albamu ya Rapa uyo inayoitwa ”My Krayz Life” ambayo alihusika kutengeneza baadhi ya ngoma  kama vile My Nigga na Who Do You Love? aliyomshirikisha Drake.

I still ain’t got paid [sic] for his album! So I don’t give a fuck!!!!, aliandika Mustard. 

YG nae alijibu mapigo na kudai kuwa hakuambulia chochote kwa kumrusha jina lake kwenye ngoma alizotengeneza pamoja na mchango wake kwenye albamu ya Dj uyo inayoitwa 10 Summers.

Wait what? Dj Mustard f**k you Nigga.  F**k everybody thatt aint got paid for my albam and Dj Mustard i know where yo studio at Nigga. & Thats me sayin ‘Mustard On The Beat H*e’. You aint never paid me for thatt or yo album Nigga.” aliandika YG.

Katika kuweka mambo sawa Mustard aliandika, “I’m finna pull up we can squabble up !!! See yo in 30 killa”, akimaanisha anampango wa kukutana uso kwa uso na YG ili kuweza kuyamaliza hasa ukizingatia wanatokea ukanda mmoja wa Westcoast.

 

Advertisements

2 thoughts on “YG, DJ MUSTARD WATOLEANA MANENO MBOFU MBOFU MTANDAONI

  1. Pingback: YG, DJ MUSTARD WAZIKA TOFAUTI ZAO | larrybway91

  2. Pingback: YG, DJ MUSTARD WAZIKA TOFAUTI ZAO | larrybway91

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s