TUNDAMAN AKANUSHA KUMPORA DOGO ASLAY DEMU

Dogo Aslay Najma Tundaman

Dogo aslay,  Najma , Tundaman

Staa wa Msambinungwa, Kapteni Tundaman amekanusha vikali tetesi zilizozagaa mjini za kumpora Dogo Aslay mpenzi wake aitwaye Najma.

Tundaman amemueleza Gossip Cop wa Clouds fm ‘Soudy Brown’ kutomfahamu kabisa mwanamke uyo anayedaiwa kumpora kutoka kwa Dogo Aslay na kudai kuwa hata Tattoo inayosemekana amechora ya jina lake haifahamu.

simjui demu wa Aslay…ujue soudy unaniaribia ndoa usifanye ivyo..ebu acha mambo hayo..umempiga picha bwana..mimi nataka nioe bwana February..mimi sijui hayo mambo bwana, mbona unaniambia vitu vipya ndugu yangu, mimi nina-stress hapa ujue!! jana nimeibiwa vioo vyote vya gari alafu wewe unanipigia kuhusu mambo hayo unanichanganya kabisa”, alisema Tundaman.

Advertisements

4 thoughts on “TUNDAMAN AKANUSHA KUMPORA DOGO ASLAY DEMU

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s