PICHA ZA MAPOKEZI YA DIAMOND JIJINI KIGALI NCHINI RWANDA

Baada ya kuweka historia jijini Bujumbura nchini Burundi wikiendi iliyopita, Rais wa Wasafi ‘Diamond Platnumz’ ametua nchini Rwanda Jumatatu(Dec.29) na kupokelewa na umati mkubwa wa waandishi na mashabiki kwenye uwanja wa ndege wa Kigali huku akiwa ameongozana na mpenzi wake Zari na Timu nzima ya Wasafi ikiwa ni sehemu ya ziara yake kimuziki.

Dai Zari

Diamond na Zari wakielekea kukwea ndege kuelekea Rwanda

Waanddishi wa Rwanda

Mashabiki na waandishi wakimsubiria Diamond kwenye uwanja wa ndege Kigali

Mapokezi ya Diamond Rwanda

Diamond akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Kigali

Diamond akizungmza na waandishi

Diamond baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa Kigali

Diamond waandishi Rwanda

Diamond na msafara wake ukiwa umezungukwa na waandishi uwanja wa ndege jijini Kigali nchini Rwanda

Diamond Wasafi Zari Rwanda

Diamond na watu wake wakitoka nje ya uwanja wa ndege wa Kigali kuelekea hotelini

Tatizo nyota Rwanda

Diamond akimulikwa mapicha ya kutosha na waandishi nje ya uwanja wa ndege wa Kigali

Diamond baada ya kuwasili hoteli ya Serena

Diamond akitoka nje ya uwanja wa ndege wa Kigali kuelekea kwenye maegesho ya magari

Waandishi wakimmulika Diamond

Waandishi wakifanya yao

Diamond Zari Rwanda

Diamond, zari na meneja wake wakipelekwa eneo la maegesho ya magari tayari kuelekea Hotelini

Diamond Rwanda Tour

Mashabiki wakipiga picha gari alilopanda Diamond kuelekea hotelini

Msafara wa Diamond ukielekea Hotelini

Diamond akiwa ndani ya gari nje ya viunga vya uwanja wa ndege wa Rwanda kuelekea hotelini

Diamond Zari wakiingia kwenye hoteli ya Serena iliyopo Rwanda

Diamond na zari baada ya kuwasili kwenye hoteli ya Serena iliyopo jijini Kigali nchini Rwanda wakielekea kwenye chumba chao

Hoteli aliyofikia Diamond Serena Rwanda

Picha kutoka katika chumba alichofikia Diamond kwenye hoteli ya kifahari ya Serena

Serena Hoteli Rwanda Kigali

Muonekano wa ndani na nje wa hoteli ya Serena iliyopo jijini Kigali nchini Rwanda ambapo Diamond na watu wake wamefikia

Serena Hoteli

Madhari ya hoteli ya serena Kigali Rwanda

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s