PICHA : DIAMOND NA ZARI WATEMBELEA MAKUMBUSHO YA MAUAJI YA HALAIKI HUKO RWANDA

Mwanamuziki Diamond Platnumz ameamua kuitumia ipasavyo ziara yake ya muziki nchini Rwanda kwa kutembelea makumbusho ya mauaji ya halaiki(Kigali Genocide Memorial)  ikiwa ni sambamba na kuweka mashada ya maua kwenye makaburi ya watu waliopoteza maisha kwenye mauaji hayo huku akiwa ameambatana na mpenzi wake Zari na Timu ya Wasafi.

Diamond na Zari KimbariDiamond na zari wakitazama silaha zilizotumika kwenye mauaji hayo ya halaiki ambayo yalitokea mwaka 1994 jijini Kigali nchini Rwanda.

Diamond akitazama mafuvu ya watu Diamond akitazama mafuvu ya vichwa vya watu waliouwawa kwenye mauaji ya halaiki nchini humoDiamond na Zari wakipewa maelekezo  Hapa wakipewa historia  na mfanyakazi wa makumbusho  ya Kigali GenocideDiamond RwandaDiamond akitazama mifupa ya watu waliouwawa kwenye mauaji ya halaiki huko Rwanda

Diamond Rwanda KimbaliHapa akitazama mavazi ya wahanga wa mauaji ya halaiki

Zari RwandaZari akitazama kwa makini mavazi ya wahanga waliopoteza maisha yao kwenye mauaji ya halaiki Rwanda

Diamond na Zari wakiweka mauaDiamond na Zari wakiweka mashada ya maua kwenye makaburi ya watu  waliopoteza maisha yao kwenye mauaji ya halaiki nchini Rwanda mwaka 1994

Advertisements

2 thoughts on “PICHA : DIAMOND NA ZARI WATEMBELEA MAKUMBUSHO YA MAUAJI YA HALAIKI HUKO RWANDA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s