FORBES : DR.DRE, BEYONCE, JUSTIN BIEBER WAINGIA 10 BORA YA WANAMUZIKI WALIOLIPWA MKWANJA MREFU ZAIDI 2014

Jarida la Forbes limetoa orodha ya wanamuziki  bora Duniani waliolipwa mkwanja mrefu zaidi mwaka 2014 kupitia muziki, shoo, matasha na mikataba ya makampuni mbalimbali huku ikimtaja producer mkongwe Dr.Dre kushikilia tena nafasi ya kwanza kwa kuingiza dola milioni 620 ikiwa ni baada ya kuongoza kwenye orodha ya Forbes Hip-Hop Cash Kings miezi kadhaa iliyopita .

Orodha iyo pia imemtaja Beyonce kukamata nafasi ya pili akiwa ni mwanamke pekee kuingia 10 bora akiwa ameingiza dola milioni 115 kwa mwaka  halikadhalika na mwanamuziki Justin Bieber akishikilia nafasi ya sita kwa kuingiza dola milioni 80.   Itazame orodha kamili hapo chini na viwango vya hela walivyoingiza kwa mwaka huu.

(1).  Dr.Dre – Dola Milioni 620

Dr.Dre

(2).  Beyonce Knowles Dola milioni 115

Beyonce

(3).  The Eagles – Dola milioni 100

The Eagles

(4).  Boni Jovi – Dola Milioni 82 Boni Jovi

(5).Bruce Springsteen – Dola Milioni 81

Bruce Springsteen

(6).  JUSTIN BIEBER – DOLA MILIONI 80

Justin Bieber1

(7).  ONE DIRECTION – DOLA MILIONI 75

ONE DIRECTION - DOLA MILIONI 75

(8).  PAUL McCARTNEY – DOLA MILIONI 71

PAUL McCARTNEY

(09).  DJ CALVIN HARRIS – DOLA MILIONI 66

calvin Harris

(10).  TOBY KEITH – DOLA MILIONI 65

TOBY KEITH

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s