WEMA SEPETU : NAWAPENDA DIAMOND NA ZARI!!!…THEY SUCH A GOOD COUPLE

Diamond na zariMuigizaji nyota wa filamu Bongo, Wema Sepetu ameonyesha kila dalili za kutokuwa na kinyongo na mahusiano mapya ya ex wake Diamond na mwanadada Zari kutoka Uganda.

Akiongea na Gossip Cop  ‘Soudy Brown’ nje ya club 71 Tegeta wakati wa utambulisho wa msanii mpya wa Endless Fame ‘Ally Lunya’ Jumapili(Dec.28), Wema alisema anawapenda Diamond na Zari na anawatakia kila la kheri.

Aisee nawapenda(Akimaanisha Diamond na Zari)…. They such a good couple”, alisema Wema na kuongeza,i wish them all the best & Happiness”.

Aidha msanii uyo aliyewahi kutwaa taji la Miss Tanzania alifunguka  kuhusiana na suala zima la kuwa bize na kazi zake kwa sasa tofauti na hapo awali alipokuwa amebweteka wakati akiwa kwenye mahusiano na Diamond.

Mimi naweza kusema kwamba everything is starting point, and all this my work & my issues ilihitaji starting point, maybe when i was in love with Naseeb i was too blind to see to look at my life & future..U know & i was blind by love…& then when he went up a picture that was when i got a wake up call kwamba am supposed to do this & that”, alisema Wema.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s